Unavumilia shida na raha eeeh Hakuna, hakuna hakuna Basi nsamehe eeh Hakuna, hakuna hakuna We ndo wa pekee
Sidhani kama nitapata wakuja kunishika Na nikapumzika kama we Mwenzangu naona unanenepa mwenzako ninakonda Mifupa inatoka nisameheee
Kwangu beki wamekaba Wamegoma hata kucheza ndondo ooh Au we ndo kocha wa mahaba Nashangaa umenipiga kumbo ooh Nazile shombo za paka sizitaki tena hata kidogo dogo
Naona nadondoka Maisha yanayumba yumba Sinapakushika basi rudi mama mwenywe nyumba hii Na kama ukipata barua uisome nakutuma
Ewe njiwa, ewe njiwa eeeh Peleka salamu kwa mpenzii iiiih Ewe njiwa, ewe njiwa eeh Mwambie nimemmiss kishenzi ii iiih
Nasema hakuna kama wewe Hakuna, hakuna, hakuna Mmmh wa kwangu mimi mwenyewe Hakuna, hakuna, hakuna Unavumilia shida na raha yeee Hakuna, hakuna, hakuna Basi nsamehee eeh we ndo wa pekee