Mi binadamu nakosea, aahhaa. Na nikikosea kuambiwa lazima. Tafadhali ebu rudi nyumbani, mama. Kaitesi ii, usije ukaputsi uwaje usi. Kaitesi ii, penzi usiitie ukasi. Kaitesi, nahisi kabisa nitakuwa chizi, Kaitesi, lolololilo lolololooo. Ebu fikiria maamuzi yako, yananilizaa. Ooohh, iiihh. Yananiumiza. Kaitesi, mama watoto, unanilizaa. Ooohh, iiihh. Unaniumiza.
Miaka kadhaa ya msoto, Mungu akatupa toto, toto zuri. Mona, mmm, mrithi wa mama yangu. Naomba unisamehe, Nisamehe. Tuyamalize. Nitaita wazee, wazee. Tuyasuluhishe.
Mi binadamu nakosea, aahhaa. Na nikikosea kuambiwa lazima. Tafadhali ebu rudi nyumbani, mama. Kaitesi ii, usije ukaputsi uwaje usi. Kaitesi ii, penzi usiitie ukasi. Kaitesi, nahisi kabisa nitakuwa chizi, Kaitesi, lolololilo lolololooo. Ebu fikiria maamuzi yako, yananilizaa. Ooohh, iiihh. Yananiumiza.
Kaitesi, mama watoto, unanilizaa. Ooohh, iiihh. Unaniumiza. Ebu fikiria maamuzi yako, yananilizaa. Ooohh, iiihh. Yananiumiza. Kaitesi, mama watoto, unanilizaa. Ooohh, iiihhh. Unaniumiza