Accueil
đđ€ Paroles de chanson Française et Internationnales
Recherche : GO
Afficher les Favoris
â Cacher les Favoris
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Ajouter aux Favoris Titre : Kilangakomo
Uvivu wa kuchagua nimeula wa chuya Nilichagua sura, wala sikujali tabia Na kubwa kupungua ndipo kanijia Mateso yake kutwa namfikiria Kumbe nimeuziwa mbuzi kwa gunia Kwenye cover burger ndani nilikuta bajia Mbona nampenda sana Ninamlinda sana Ananitesa jama mama Nahisi amechanganya Moyo unagandama Nataka kula nyama, nyama Oh laini anatoka sasa bar Simu ukipiga inatumika Message anazionaga Dhiki za - zimejaa anazipitaga Kilangakomo, kilangakomo mwana mie Salamu kalonga kilangakomo Nafumba promo, naweka mdomo itulie Kilangakomo, kilangakomo mwana mie Salamu kalonga kilangakomo Nafumba promo, naweka mdomo itulie Nishaga kumbana na pazi na kazi nikakosa Baada ya kufuma message nikamiss kutomaswa Nishagombanaga naye ni fundi wa msasa Kapiga msasa bedi na penzi akala kabisa Sasa nikupe nini wewe malkia Utulie kama nilivyotulia Unataka nife siku hazijafikia Hicho labda ndicho unasubiria mmmh Mbona nampenda sana Ninamlinda sana Ananitesa jama mama Nahisi amechanganya Moyo unagandama Nataka kula nyama, nyama Oh laini anatoka sasa bar Simu ukipiga inatumika Message anazionaga Dhiki za - zimejaa anazipitaga Kilangakomo, kilangakomo mwana mie Salamu kalonga kilangakomo Nafumba promo, naweka mdomo itulie Kilangakomo, kilangakomo mwana mie Salamu kalonga kilangakomo Nafumba promo, naweka mdomo itulie