Sasa Vipi nikuache Gusa moyo wangu nami niguse wako Niko peke yangu nawe uko peke yako Kama kukupenda nilikupenda mwenyewe Atayefanya niwe chizi ni wewe Na nitagharamia upate utakacho wewee Ninachohofia Usije niacha mwenyewe Me kwako ni koko tu Sioni sisikii koko tu Kama ni kisu nikidugi koko tu Kimeishaa makali
Tatizo nini Kinachofanya unune Na kwanini Unataka tugombane? Baby me ni wako Nakuruhusu unichune Kama ni kamari kwako Upepo wako unipune
Kama kukupenda nilikupenda mwenyewe Atayefanya niwe chizi ni wewe Na nitagharamia upate utakacho wewee Ninachohofia Usije niacha mwenyewe Me kwako ni koko tu Sioni sisikii koko tu Kama ni kisu nikidugi koko tu Kimeishaa makali
Nimenasa kwenye mtego wako weweee Sina ujanja uko peke yako weweee Nipo tayari Kufa kwa ajili yako weweee Nikumbatie baby niweze karbu yako weweee