kiuno kizito kama engine ya fuso hauna lolote kitandani yani upoupo unashindwa hata kufua vi chupi vyako
unanuka jasho makwapani kama choo cha soko
yani!! nikikutazama wala sikumalizi unavyojua kupost picha nakueka pozi yani!! kwenye mitandao umekaa kiwiziwizi kazi kuchamba wenzio usiyokosa kazi wewe tena sijutii kukuacha naona kama nimeacha nyoka. chumba kilikuwa kama kichaka unajistiri kazi tu kutukanaga mastar wakipost picha zao ista umenitia aibu ebu tafadhali hajui kupika nikipika mimi unapost wewe picha unaniaibisha mpaka chooni unajisnapisha nimekuvumilia kwakweli nimechoka chumba Kama jalala hata machizi nashindwangwa kuwaleta mwanamke gani kolo, kolo kolololoo unanuka Kama nguru nguru ngurungururu