Umenipukutisha, umeniacha kama bwege Umenipa ugonjwa kama ule degedege mmh, Sina hata thumni ya kununua chipsi zege,
Nikianza kulia machozi yanajaza debe, debe
Imani na hitaji la moyo wako sikulijua, kumbe Kwangu ulitaka kipato ukakimbia aah, Ulivyopata kile ukitakacho ukazingua weewe, Kumbe tapeli wa mapenzi me sikujua, aii weh Masura wa moyo wanguu mama ndiye, uliyeniacha mimi njia paanda, umeondoka na moyo wangu maama, wakati mwenzako nilishakupendaa Ulipenda kuforce hat kama sitaki yani bundle lako la kutumia unataka laki, ah, umeshanifilisi eti haunitaki, sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeendaa Kwa rahaa (saawa) kwa raha zako, (kwa rahaa) kwa rahaa Ponda tu mali zangu we dadaa, kwa rahaa, kwa raha zako (kufa kwaja) kwa rahaa atanilipia Mungu baba baba, iye, kwa rahaa, kwa raha zako kwa rahaa
Ona sasa umeniachia mdeni kwa yule mama Sikudhani kumbe ulikopaga lotion naumbuka huku Umetupa jiwe gizani kisha limenipata mimi, we mbona huna shukurani naumbuka huku, kichwa boga zuga zuga mpaka dagaa nashindwa kukopa aaeeh, madeni uloniachia nashindwa kulipa ee We masura wa moyo wangu maama ndiye uliyeniacha mimi njia paanda umeondoka na moyo wangu maama wakati mwenzako nilishakupendaa Ulipenda kuforce hata kama sitaki, yani bundle lako la kutumia unataka lakii, na umeshanifilisi eti haunitaki, sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeendaa Kwa rahaa (saawa) kwa raha zako(kwa rahaa), kwa rahaa ponda tu mali zangu we dadaa, iye iye, kwa raahaa(eyayayaah),
kwa raaha zako (kufa kwaja) kwa rahaa (atanilipia Mungu baba baba) kwa rahaa, kwa raha zako, kwa rahaaa