Dj embu piga charanga tuchezee Wanauliza maswali Tuwajibu kwa vitendo Waambie ee wajue me kwako nishatia nangaaa Fumba macho usije danga Utaniumiza roho Nikila korosho kula karanga Tuzimeze ooh Usiniache nitatanga tanga Yatima ooh Unionyeshe aliyekufunza nyakanga Kitandani njoo
Nimeona wengi sana Wazuri sana Ila kwako nimekwama Sijateleza kukuchagua Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee
Kwatu Roho yangu kwatuu Kuwa na wewe Kwatu kwatu kwatu Roho yangu kwatu Roho yangu kwatu Kuwa na wewe Kwatu kwatu kwatu Roho yangu
Ukiwa mbali mwili wote unapooza Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza Chai sukari Mupenzi hebu koleza Usije ukakurupuka ukaja niacha kwa jeneza
Familia yangu iko polisi inakutafuta wewe Nasikia unabonge la kesi lakuniteka mie oooh lololololo oooh La kuniteka mie eeh eeeeehh… aaah aaah aaaaaaahh….
Wambie wajue Mi kwako nishatia nangaa Nimeona wengi sana Wazuri sana Ila kwako nimekwama Sijateleza kukuchagua Nichochee, nichochee Kama moto unichochee Vunja mifupa kama meno ipoo