Message zako nimeziona Ati umechoka visa vyangu Ohh mama aaah Mbona unakufuru Mungu Si ungesema kama umechoka
Penzi langu oh mama Nijitakatae Hali tate nane Hutaki hata tuonane Vibaya hivyo oh mama Oh tate nane Unapenda tufukeane Vibaya hivyo ooh mwana Nakuonaga tu snapchat Au insta picha ukipost Ni block basi mama nisikuone Anakujaga tu ibilisi Natamani kwenda kwenu kushtaki Maneno yako yanafanya ninyongonyee Sababu nakupenda sana Ndo maana unafanya visa Niumie Mwenzako bado mimi nikijana
Nahitaji fursa nipe nitulie Kamoyo kanaenda mbio Nakaribia kukata roho Mwanzako sina kimbilio ndo ushanipiga KO Nipunguzie adhabu basi Eeeh eeh Unipe likizo tu Mi bado nakupenda Aaah mama Unipe likizo tu Ona unadhulumu yangu nafsi Unipe likizo tu Utaniua mama aaah Unipe likizo tu Chini ya kapeti nimepata habari Umetolewa posa Inamaaana hunitaki Umepata kibosile
Kinakupa mapesa eeh Kwangu ulifuata kiki uliishi na mimi Kusafiri na nyota eeeh Kweli kisicho riziki hakiliki Ona unavyonitesa Harusi nitakuja kukupa walivyokupamba Mamaaaa Ninajua itaniuma ila nitajikaza sanaa Nitaleta na zawadi nitampa mkono jamaa Kisha sitakaa sanaa nitaanza ondoka aaah Hali tate nane Hutaki hata tuonane Vibaya hivyo oh mama Oh tate nane Unapenda tufokeane Vibaya hivyo ooh mwana Nipunguzie adhabu basi Eeeh eeh
Unipe likizo tu Mi bado nakupenda Aaah mama Unipe likizo tu Ona unadhulumu yangu nafsi Unipe likizo tu Utaniua mama aaah Unipe likizo tu Mola nipe subira Nitampata kisura Nitaishi naye eeh Anipende mwenyewe mwenyewe Mola nipe subira Nitampata kisura Nitaishi naye eeh Anipende mwenyewe mwenyewe