Wanajisumbua Wanashindana na moto si wa wataungua Magu tunajivunia Kwa uwepo wako tunatawala dunia
Mmmh wanakusifia Wakiwa chooni nnje wanakukandia Magu tunakuelewa Ndio maana mpaka nyimbo tunakuimbia baba
Magufuli beba, beba nchi baba Ikiwezekana beba mara mia saba Beba hatutokumwaga Katiba iruhusu tukupe moja kwa moja Rais
Umejenga barabara za magorofa Wazanamo jiji letu lawaka waka Sina budi mtaani wangu kukupa sifa Maana pahali pazuri umetufikisha
Wanalewa wanavunjika miguu Ukiwapa nchi siwatatuua duu Watu gani hawajui wema wa mtu
Wanataka watuweke sisi roho juu, baadae
Oooh! Wapinzani hatuwapi kura zetu Wanyonge na wale vikosi eeh Tupo sawa Tanzania kama kambale Tanzania tunakwenda kimbele mbele Tumezisahau zile enzi za kale
Ooh CCM chama Inanipa raha mwenzenu Naskia raha nipo chama tawala Wapinzani wananuna
Magufuli waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao Mama Samia mama waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao
Jakaya Kikwete waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao
Kaka sio juhudi zako Magufuli Ile mindege tungepata wapi? Kaka sio juhudi zako Magufuli Standard gauge tungepata wapi?
Wapinzani wanapanda mwendo kasi Na Air Tanzania Na magari yao wanatamba kwa barabara Ulizo tujengea
Wanadiss wanafanya hawataki Kukufagilia Ila tuliokuchagua
Tunakupenda tunakufagilia, Magufuli
Ooh CCM chama Inanipa raha mwenzenu Naskia raha nipo chama tawala Wapinzani wananuna
Wajumbe (CCM), Madiwani (CCM) Wabunge (CCM), Rais (CCM) Hatuwachi kitu, oOoh wapinzani Hatuwapi kura zetu kamwe
Doctor Sheddy waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao Kassim Majaliwa waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao
Philip Mangula
Wakitaka wasitake CCM Chama chao Dr Bashiru Ali Wakitaka wasitake CCM Chama chao
Kaka Heri James Wakitaka wasitake CCM Chama chao Mama Maria Nyerere Wakitaka wasitake CCM Chama chao
Mama Fatuma Karume Wakitaka wasitake CCM Chama chao Tanzania yote, yote Wakitaka wasitake CCM Chama chao