Nataka pamba kali nipendeze Na mimi wanisifie (Wanisifie)
Mi kitandani fundi Nafanya unalia kama bundi Uo wivu wako sipendi Nipe pesa mi nikale tungi
Nakufundisha mapenzi Japo una umri wa shangazi Nakudatisha kichizi Mpaka mume wako unamuona makuzi
Napatapata vitisho nikiwa kitaani Mumeo anataka kuniua eti kisa nini? Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi Ila akitaka ndondi aende ulingoni badae
Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto) Nipe pesa nikupe ukitakacho Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto) Nipepese nikupe ukitakacho
Oh iyee mama Anataka pesa hana aliniomba Toka jana anataka sare Aende zake kwenye ngoma mmmmhhhhh
Basi mpe Si umependa boga penda na ua lake Akinuna Atafanya zifugwe listi zote
Napatapata vitisho nikiwa kitaani Mumeo anataka kuniua eti kisa nini? Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi
Ila akitaka ndondi aende ulingoni baadae
Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto) Nipe pesa nikupe ukitakacho Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto) Nipepese nikupe ukitakacho
Ah mi ndo Mario, Marioo Mi ndo Mario, tabibu mkubwa wa penzi lako Mi ndo Mario, Marioo Mi ndo Mario, tabibu mkubwa wa penzi lako