Nitunze kama moto na jicho lako maa Sitokufanya vii utamu ukitafuna Iweke mdomoni kila ukisema Ghetto liwe VIP lipambe kwa mishumaa
Ongeza upole wako bae mama Usiniudhi usije niacha mazima mama Mwenzako chizi wa mapenzi Usinibughudhi ukaja kupata lawama bwana
Nipe nyama ya kasa Ukikosa papa samaki nipatie ngisi Saa ya nini limbwata Na nishaapa wengine hawana nafasi
Umenisafisha nilipochafuka Walahi sikuachi Mi ni kuku wako nalitafika Ya nini manati?
Hivi mpenzi umenipa nini? (Nashangaa) Na kama dawa hio dawa gani? (Nashangaa) Mbona kupenda kwangu sio kawaida (Nashangaa)
Unanipa furaha nasahau shida (Nashangaa)
Mwanamke sura nidhamu shule Wasione naringa siringi bure Mi mgonjwa matibabu bure We ndo mganga wangu njoo tupige ndeni
Alama, alama Chunga tusije vunja kitanda Na dada, na banda Mvishe suti Martin Kadinda
Ongeza upole wako bae mama Usiniudhi usije niacha mazima mama Mwenzako chizi wa mapenzi Usinibughudhi ukaja kupata lawama bwana
Umenisafisha nilipochafuka
Walahi sikuachi Mi ni kuku wako nalitafika Ya nini manati?
Hivi mpenzi umenipa nini? (Nashangaa) Na kama dawa hio dawa gani? (Nashangaa) Mbona kupenda kwangu sio kawaida (Nashangaa) Unanipa furaha nasahau shida (Nashangaa)