Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu, Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto, Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael, Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko, We ndio wangu wa milele,
Nauza dagaa, ili ninunue motorcar nikuridhishe,
Unanipa furaha, na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe, Unanyota ya Adam na Hawa(Ohooo), Tunavyopendana, Hata wakituchukia ni sawa (Ohooo), Tuaminie Mama, Wanaona umenipa dawa (Ohooo), wanaongea sana, Chunga usije kuota mbawa (Ohooo), Ukaniachaga kilema, Katabiri pweza penzi litafika mbali, Nacheka kiingerza, Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, Mh Jamani, Katabiri pweza penzi litafika mbali, Kwakweli hamtoweza, Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, Basi baby nikumbatie mama