Sina nguvu ya kuleta matala Mi kwako fala, Sijiwezi hata kidogo We nipige hata kwenye hadhara Mi bado fala, Sikuachi hata kidogo
Nimesimama nakupenda peke yako Nilikula ujana Ila kwako nimefunga kwato Kamwambie na mama Kwamba mimi ndo mpenzi wako Waharibu ndugu lawama Penzi letu kuligusa mwiko
Natiririka(iyeee) Natiririka mama natiririka Uzani umezidi wa wa kilo(kilooo)
Natiririka Natiririka mama natiririka Maji ya shingo yamenifika Natiririka Natiririka mama natiririka Yamenifika(oooh) Natiririka Natiririka mama natiririka Ananipa nacho taka ndo maaana
Simba nimekuwa farasi mnyonge Bouncer anaepelekwa puta na mende Yuko wapi mganga wako niende Nataka nimpeke zawadi kilinge atulie
Na nilikuwa mkata Ila kwako kidomodomo Nimekataa nimekataa
Na nilikuwa matata Ila kwako mtoto Natamba natamba
Nimesimama nakupenda peke yako Nilikula ujana Ila kwako nimefunga kwato Kamwambie na mama Kwamba mimi ndo mpenzi wako Waharibu ndugu lawama Penzi letu kuligusa mwiko
Natiririka(iyeee) Natiririka mama natiririka Uzani umezidi wa wa kilo(kilooo) Natiririka Natiririka mama natiririka Maji ya shingo yamenifika
Natiririka Natiririka mama natiririka Yamenifika(oooh) Natiririka Natiririka mama natiririka Ananipa nacho taka ndo maaana
Natiririka natiririka Mama natiririka Mzani umezidiwa kilo kilo Natiririka natiririka mama natiririka Maji ya shingo yamenifika natiririka Natiririka natiririka mama natiririka Ananipa nacho taka ndo maaana
Punguza dozi utakuja niua mwana wa mwenzio Unanipeleka mperampera