Labda mapenzi yawaumiza roho zao Eti kwengine sipati sijiwezi Ndo maneno wasema Kwamba kwako sifurukuti sijiwezi
Ndivyo hivyo wanavyosema Na mimi nanyamaza kimya nakupenda Naogopaa nikikuona nakuwa kimya Sina cha kusema nakupenda
Labda sinaga faragha Nashuka kupanda ila nakupenda Mimi kwako ni mjinga Sinaga ujanja waache wanaoponda
Kama chumba mi dalali (Ahh) Penzi letu lifike mbali (Ahh)
Nibebe bee (Nakupenda usiwe na makuu) Baby nibebe bee (Hata kama nikining´iniza miguu) Nibebe bee (Wanataka niwe chini wao juu) Mpenzi wee nibebe bee (Ahh ahh)
Nimesikia wamekuundia na group, matusi matupu Wanakunyanyasa wanakutukana jitoe Usiwe mchonga vinyago utanifilisi Mwisho wa siku tukigombana ikawa hadithi Wee kitumbo mbelembele kwa kuku na chipsi Usiyeacha hata mifupa utakuwa fisi
Kama chumba mi dalali (Ahh) Penzi letu lifike mbali (Ahh) Nibebe bee (Nakupenda usiwe na makuu) Baby nibebe bee (Hata kama nikining´iniza miguu) Nibebe bee (Wanataka niwe chini wao juu) Mpenzi wee nibebe bee (Ahh ahh)
Nibebe bee (Nakupenda usiwe na makuu) Baby nibebe bee (Hata kama nikining´iniza miguu) Nibebe bee (Wanataka niwe chini wao juu) Mpenzi wee nibebe bee (Aaah aaah)