Me nakupenda sana Unanipenda sana Usiniache utanipa kaugonjwa kamoyo kuuma Ninakukosea sana Yaan mpaka huruma Usiniache utanipa kaugonjwa kamoyo Unayoona jana unisamehe Tuchunge penzi liendelee eboo unataka nini nikuletee Itakiwa ijirudie yaendelee
Wazee wa calling calling watakunyakua Calling calling nyaku nyaku we Calling calling watakuchukua
Wanataka niumbuke Me nakupenda sana Unanipenda sana Usiniache utanipa kaugonjwa kamoyo kuuma Ninakukosea sana Yaan mpaka huruma Usiniache utanipa kaugonjwa kamoyo Unayoona jana unisamehe Tuchunge penzi liendelee eboo unataka nini nikuletee Itakiwa ijirudie yaendelee
Wazee wa calling calling watakunyakua Calling calling nyaku nyaku we Calling calling watakuchukua Wanataka niumbuke
Nachopata kwako
Kwa wengine sijawahi kupataga Kwako napata vinono Ila kwa wengine nakutaga ushubwana Sitaki tuwe kama utakavyo ati kaka na Dada Ooh Nataka penzi lianze mwanzo Tawacheke wakudu Unanifumaniaga aah Unanisameheaga Usije kunimwaga moja kwa moja Me bado nakupendaga Kweli nawatongozaga Wananikubaliaga Ila kujificha ndo nashindwaga Ndo maana nafumaniwagwa na wewe Me nakupenda sana Unanipenda sana Usiniache utanipa kaugonjwa kamoyo kuuma
Ninakukosea sana Yaan mpaka huruma Usiniache utanipa kaugonjwa kamoyo Unayoona jana unisamehe Tuchunge penzi liendelee eboo unataka nini nikuletee Itakiwa ijirudie yaendelee
Wazee wa calling calling watakunyakua Calling calling nyaku nyaku we Calling calling watakuchukua Wanataka niumbuke
We wewe tu ndo unanifumaniaga We wewe ila ndo nakupendaga We wewe tu unanisameheaga We wewe tu japo unanifumaniaga