đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Aslay
Titre : Rudi Darasani
Bado hujajua, bado hujajua utamu wa penzi
Unanisumbua, unataka kazi huwezi kazi
Rudi tena darasani
Rudi tena darasani ukasome

Mwenzako mi mtanesh
Na game za Uswazi sizitolei macho
Nafanya za kibabe
Huwezi show zangu nitakutoa jasho

Maji ya kisima unachutama
Sio kusimama
Ukipewa karoti hebu tafuna
Sio kumumunya

Na ukiona bakora
Lia lia
Ila unanishangaza Bi. dada
Najitia nunda

Rudi tena darasani yooo yoo
Masomo mengine huyawezi yatakutoa roho

Mama mama kungwi(Katoa boko)
Kumbwi kungwi(Katoa boko)
Ayee mwalimu(Katoa boko)
Eeh mwalimu(Katoa boko)

Mama mama kungwi(Katoa boko)
Kumbwi kungwi(Katoa boko)
Ayee mwalimu(Katoa boko)
Eeh mwalimu

Wamekula hasara wazazi wako
Wafate pesa zao kwa kungwi wako
Oh, waliona guna guna kajibwa koko
Umemzidi tembo kwenye uzito oh

Kwa nini nisichepuke
Nikatafute mapenzi
Mwali unataka muhogo

Wakati unashindwa kula ndizi

Sijatulia mapepe
Bibiye hauniwezi
Nimezoea masotojo
kuwa ndani sipigi cha mkwezi
Aah

Rudi tena darasani yooo yoo
Masomo mengine huyawezi yatakutoa roho

Mama mama kungwi(Katoa boko)
Kumbwi kungwi(Katoa boko)
Ayee mwalimu(Katoa boko)
Eeh mwalimu(Katoa boko)

Mama mama kungwi(Katoa boko)
Kumbwi kungwi(Katoa boko)

Ayee mwalimu(Katoa boko)
Eeh mwalimu

Mchana unajifunika shuka
Usiku unazima taa
Mapenzi ka ni kukurupuka
Hutaki hata kujiandaa

Matango pori
Matango, matango pori
Kawalisha wengine
Matango, matango pori

Mmh matango pori
Matango, matango pori
Mimi hunipati, silali matango
Matango, matango pori