Subalkheri mpenzi waonaje hali yako Sabahalnuri lazizi hali yangu kama yako
Wawaonaje wazazi nyumbani utoke yako Kawanusuru Mwenyezi hofu yao juu yako
Ebu nitoe majonzi unijuze shida yako Shida yangu sijiwezi,dawa yangu sura yako Ebu nitoe majonzi unijuze shida yako Shida yangu sijiwezi, dawa yangu sura yako
Mwinginewe hachomozi nakupenda peke yako Mwinginewe hachomozi nakupenda peke yako Daima nitakuenzi silitupi pendo lako Daima nitakuenzi silitupi pendo lako
Ukiwaga mbali baby Mwenzako presha inazidi spidii Usiniache baby Utanipa pigo la kigaidi
Basi mwororo Najua uko na mimi penzi wewe Usije nifanya kiporo Najua kuliachaga mbwezi yeyeye
Ukiwa mbali baby mwenzako Presha inazidi, spidi Usiniache baby Utanipa pigo la kigaidi
Oooh basi mwororo Najua uko na mimi mpenzi je weweee Usinifanye kiporo eeh
Ebu nitoe majonzi unijuze shida yako Shida yangu sijiwezi, dawa yangu sura yako Ebu nitoe majonzi unijuze shida yako Shida yangu sijiwezi, dawa yangu sura yako
Mwenginewe hachomozi nakupenda peke yako Mwenginewe hachomozi nakupenda peke yako Daima nitakuenzi silitupi pendo lako Daima nitakuenzi silitupi pendo lako