Me siwezi kula mpaka ale yeye Tena nimlishe kwa kijiko Nyimbo nimuimbiie, kama kuna joto
Nimpepee, nimpepeee
Kisha, nibembeleeze, nimliwaaze Na kama kuna kosa beibee anieleeze Nibembeleeze, nimliwaaze Na kama kuna kosa beibe anielezee Napigwa na jua mchana kutafuta pesa aje kulaa Usiku tena twagombana hivi kwanini aninyanyapaa? Yo yo Baaba, baba kuandika talaka siweezi Bora tu baba nibembeleze mapenzii
Sio poaa, anavyonifanyiaa, ila kinyooonge saana yeeh Navumiliaa Kama mtoto (te te te) mtoto anavyotembeaa ye ye ye yeeh (Deeede) atabaadiliika ye ye ye yeeh (Te te te) mimi navumilia ye ye ye yeeh Yooote yana mwisho wake ye ye ye yeeh
Hili ni penzi la kijeshi, kuruta nipige saluti Kwake, hata niwe msafi vipi, makosa sikosi Ila nikipeti peti, sijui labda nina nuksi Yani, mwenzangu yeye hataki, naambulia matusi Ilaa sijaali, napandisha moraali Ndo kwanza naleta chipsi na kuku na yaii Ila sijaali, napandisha moraali Ndo kwanza naleta chipsi na kuku na yai (alee) Ah, ah ah mchuchu ninaye ila sipati kituu uuuuh Huku ndo kupatwa kwa penzi butu uh, Nilikula kofi nilipompapasa usiku Nilipotaka kufosi nilichezea teke la huku, kwa babu Eiye eh, kwa babu
Sio poaa, anavyonifanyaa ila kinyoonge saana yeeh Navumiliaa
Kama Mtoto (te te te) mtoto anavyotembea ye ye ye yeeh (Deeede) atabadilikaa ye ye ye yeeh (Te te te) mimi navumilia ye ye ye yeeh Yooote yana mwisho wake ye ye ye yeeh
Badiliika dada badilika, nakusubiri bado Mumeo, mumeo eeeh anakusubiri bado Niombee shemeji yangu nampenda dada yako Na namsubiri bado Mwenzie, mwenziie eh, me nampenda bado Zisti anajua ninavyouumiia, huwa anajua na vitu vyote nasubiria Zungu Baunsa anashuhudiia, nikaa peke yangu me nalia liaa eeh.