La la la laaa Pole pole baby wangu Uchungu ndo umekushika ee
Basi pole mpenzi wangu
Twende labour ukajifungue Linanitoka chozi langu Kuona unapiga kelele Mi namuomba baba Mungu Salama uweze ujifungue
Umenikumbusha mbali sanaa Nimemkumbuka mama Kumbe alipata taabu sana sana Kunizaa mwana Subira nlisubiri nikakupata wewe Nlivyokupata nkakupa mimba ili unizalie Na leo nasubiri unitotolee Jikaze mpenzi Mungu yupo na wewe akusimamie
Totoa totoa Mama Shamba nshalipalilia Totoa totoa mama
Nasubiri kuvuna Totoa totoa mama Wee ndo wangu my dear Totoa totoa mama Mungu alonijaalia
Ukijifungua dume ntachinja jogoo Ukijifungua jike ntalichinja koo Ukiniletea mapacha ntachinja kondoo Ila hata ukikosa mimi bado ni wako Kapambane na matusi wanayotoa manesi Wewe usiwe mbishi jikazee ehh Tena uwape nafasi huduma upate kasi Baby usiwe mbishi jikaze
Umenikumbusha mbali sana sana Nimemkumbuka mama mama Kumbe alipata taabu sana sanaa
Kunizaa mwana mwana Subira nilisubiri nikakupata wewe Nlipokupata nkakupa mimba unizalie Na leo nasubiri unitotolee Jikaze mpenzi mungu yupo na wewe akusimamie
Totoa totoa Mama Shamba nshalipalilia Totoa totoa mama Nasubiri kuvuna Totoa totoa mama Wee ndo wangu my dear Totoa totoa mama Mungu aalonijaalia
Totoa totoa mama Huenda akawa moza wangu Totoa totoa mama
Ama Isihaka Totoa totoa mama Huenda akawa chambuso Totoa totoa mama Huenda akawa shirko Ye ye ye ye yeh Wo wo wo wo Totoa totoa mama totoa