(Baba harusi hongeraaa) Ndoa ni jambo kubwa mwanangu Kaitunze heshima yangu Chozi linanitoka mwanangu (Pole we eeh) Siamini macho yangu (Ndo hivyo) Eeeh babu harusi mshike taratibu Usije ukafuta piko Haraka ya nini wakati huyo ni mali yako Mwanangu uchechemee Ulofundwa usisemeee kwa watu (Usungo huo) Maneno umungunye Ya chumbani usiwape faida watuu mwanangu
Ndoaa usitie doa(mwanangu mwanangu) Ukitia doa ndoa utanitia haya
Ndoaa usitie doa Ukitia doa ndoa utanitia haya mwanangu Wanawake wa kisasa Mnajifanya mna whatsapp Hamna muda wa kushughurikia Waume zenu mtashaha Mkifanya mchezo wenzio watawasapombe Ooooh oooh Usipende kugombana na mume wakoo Hata kama kuna vitu vimekukwaza Mwanamke busara Rudi vikizidi vituko (Hakukutoa juu ya mti babu eh) Hapa ni nyumbani kwako hujafukuzwa Eh Mashoga wataharibu ndoa yako Watakupindua watamteka mume wako Jitahidi kuwaheshimu wakwe zako Hizo ndizo nguzo
Za kuitunza ndoa yako Wivu usiuendekeze utakutoa roho Lakini usiwe kama zeze Kwenye ndoa yako We jitahidi upendeze uwarushe sana roho Ila mbali usicheze na mume wako
Ndoaa usitie doa Ukitia doa ndoa utanitia haya Ndoaa usitie doa Ukitia doa ndoa utanitia haya mwanangu Mwanangu seketua seketua seketu Baba seketua seketua seketu Majirani seketua seketua seketu Wahuni seketua seketua seketu Nasema babu harusi mmemuona Babu harusi eeh mmemuona Babu harusi eeh mmemuona
Aah Bibi harusi eeeh mmemuona Oho Bibi harusi wohoo wowooh mmemuona Eeh baba ya mwari eeh mmeniona Mhh mama ya mwari eeh mmemuona (Mwanaume harogwi eeeh) (Anarogwa kwa mambo mambo mambo) Aslay na hangaika eei eei nisaidie wanangu Ooh na hangaika eieeh eihh nisaidie wanangu Babu harusi kahangaike eeieh usaidie wanao Kaangaike eeieh usaidie wanao Bibi harusi kahangaike eiee eeh usaidie wanao Kahangaike eeieh eieeh usaidie wanao