Ahadi ni deni usiniache njiani Kumbuka kiapo tulichoapa Shida yako wewe ndo ya kwangu mimi Na ya kwangu kwako yanakaa
Ya uchungu, chungu Ya uchungu
Vumilia maisha ya kwangu Kwagwadugwadu maisha ya kuganga
Maisha gwagwandu Kwagwadugwandu naishi kiunjanja Maisha gwagwandu Kwagwadugwandu maisha ya kuganga Maisha gwagwandu Kwagwadugwandu naishi kiunjanja mmh
Mi nai nai mishipa ya shingo Najua ndo inayo kuumiza roho Usiku kula hatuli mwendo wa isidingo Najua umechoka kuumia macho
Ahadi ni deni usiniache njiani Kumbuka kiapo tulichoapa Shida yako wewe ndo ya kwangu mimi Na ya kwangu kwako yanakaa
Ya uchungu, chungu Ya uchungu
Vumilia maisha ya kwangu
Kwagwadugwadu maisha ya kuganga Maisha gwagwandu Kwagwadugwandu naishi kiunjanja Maisha gwagwandu Kwagwadugwandu maisha ya kuganga Maisha gwagwandu Kwagwadugwandu naishi kiunjanja