Hapendi wazembe ndo kanipa nafasi mi nimtunze Kama kapigwa dege mpaka kuku danger ndo acheke Oh kwangu ye ndo boat mi ndo kasia Namwendesha endesha tu Amenipa mpaka pochi na adibia penzi siliangushe tu
Ankodo, kodoa kodo ankodo Ankodo, kodoa kodo ankodo Ankodo, kodoa kodo ankodo Ankodo, kodoa kodo ankodo
Amenipa mpaka jina Ananiita Messi navyomtekenya Anashindwa mpaka kula Anawaza jinsi navyompepeta
Yaani karembo kwenye dera Nitakapeleka kwa Samboja
Ana mikogo kama Vera Mwendo wake kama kinyoga
Nachompendea kwanza huwaga naguu Amenifunza na buku ya mapenzi I say penzi lake kolechi Amenifunza kwa lochi Laini utampata masaki Bill tupate kwenye kochi
Yaani kidedea Kwenye penzi lake nasherehekea hosana Na macho yamelegea Tam tam anavyoichezea
Oh baby jejeje Umenifanya kwako bwege mbwege Basi nibebe bebe
Kitandani tulicheze zeze
Ankodo, kodoa kodo ankodo Ankodo, kodoa kodo ankodo Ankodo, kodoa kodo ankodo Ankodo, kodoa kodo ankodo