Naomba nafasi nipate pa kuegemea We ndo chaguo langu mwenzako nishakuzoea Nakupa moyo wangu usije ukauchezea Na kamwe sitakukosea tu nikaitunza heshima yako
Mwenzako mi nina moyo wa upole Na nimeridhi kwa mama Wameze quinin oh my love Wasije kuvuruga penzi letu
Mmmh unapendeza sana We ndo malkia nimeshakuweka moyoni Mmmh na nitachofanya Kwako nitaweka heshima sana
Oooh beiby chuku chuku Unapendeza hata ukisuka matuta aii Umenitoa suku Kwa love yako nitaienzi milele
Sijaona kama wee Be my queen Nikupeleke kwa mama ee