Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi
Ulifukuzwa Usafini ukapata wenge ni wenge Ukakusanya chokora kuanzisha genge ni genge Naskia umevuta bangi na unga sembe ni sembe Bora mkafanye kilimo mkafanye jembe ni jembe
Nawapiga upper cut nagusa mpaka kongosho Naona mziki umekushinda nenda kavune korosho Baba H ndevu nyingi hana posho Tangu Sara ameondoka umechoka mifuko down Kajala ana V8 unamhonga crown Kwa tamaa zako Anjella umeshamvua gown Ulisema mtaenda India mbona sasa mpo town
Mameneja wa panda border tulikutana njiani Wamepanda mshikaki chopper na mjerumani Haya sa nawasha taa vaa ulichosaula Usivae kibamia vaa ulichosaula Amekushinda chui kwa simba lahaula Una nuka jasho kali huwezi mpata Paula
Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi
Harmo mavi, Hamo mavi Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi
Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi Harmo mavi, Harmo mavi Harmo mavi, Hamo mavi