Low, mara kip nasambaza floor Nawabana kimya kimya kama brother Jemo
Low, wanapopatia riziki napaziba Mi ndio kivuruge nawavurugia ratiba Low, anga zao nimegeuka mwiiba Kwenye magetto yao wametandaza misiba
High, high, kwa hii beat kali nawafunza Ushafukwa mwanangu wa kitaa nikaminuza High, high, alokutuma kwangu kakutuza Bado nina moto mkali naunguza
High, high, kama lakukera bro sorry Na kama inauma haina jinsi bro pole High, high, bado la kichanga dole Natafuta ugali homework onyee
Low, inawafanya wanibembeleze Nimekaza sana wanataka nilegeze Low inawafanya wajipendekeze Nina domo kubwa hawataki niwameze
Low, nawang´aza kama black virus Nina confidence na simpi mjinga faida Low, nawachambua ki Kalori Saida Sijamaliza mishe mwendelezo wa tondolaila
High high, aki ya Mungu siwapendi polisi Wanaotubandika kesi mitaji wanafilisi High high, kuwachana humu haina jinsi Hata niimbe choir kuna mistari tatisi
High high, haina haja ya kuogopana Hii dunia kubwa dunia uwanja upana High high, haina haja ya kuogopa balaa
Mngetupa nafasi tuiendeleze sanaa
Low, pipipi popopopo High high, pipipi popopopo Low, pipipi popopopo High high, pipipi popopopo
Low, pipipi popopopo High high, pipipi popopopo Low, pipipi popopopo High high, pipipi popopopo
Low inafanya nionekane serious Nawapa michongo wana wana wananiona genius Low inafanya nijione curious Walioshindana nami wote wameitwa failures
Low, wanashangaa kila siku nipo
Mbona sipotei kama nyani ni filipo Low, wanashangaa mbona nipo sipo Mtu wa zamani tangu K Town people
High high, nashukuru Alhamdulillahi Ewe Mungu Baba nipe kazi zenye masilahi Na hapa astaka fillulahi Wasanii wachawi kwenye mziki wetu hawatufai
High high, huku tunawaza vitu tubebane Wao wanawaza kwa waganga walogane High high, bora kama vipi ijulikane Nani kigatula mwenye pepo tulikane
Low, basi wote mmesamehewa Haya ni maombi na nyi nyote mmeombewa Low, hiki ni kipaji sio ngekewa Naweza imba pombe na nyi nyote mkalewa
Low, huu ni uwezo nilopewa Wajanja wachache natumai mtaelewa Low, hiki ni kipaji sio ngekewa Naweza imba pombe na nyi nyote mkalewa
High high, naweza mezani chungu tasa Na nilivyojaa ka Benjamin Mkapa High high, nani anabisha kuja hapa Skia beat ya T na serious inavyochapa
High high ngoma inakimbiza fielder kipai Ngoma imejiseti kivyovyote mambo yakatai High high wasanii wa chobo sasa bye bye Hii kama ngama hainyongi kama nimevaa tai
Low, pipipi popopopo High high, pipipi popopopo
Low, pipipi popopopo High high, pipipi popopopo
Low, pipipi popopopo High high, pipipi popopopo Low, pipipi popopopo High high, pipipi popopopo