Take 5 now, take 5 now... Mungu mwenye baraka Nakushukuru kwa hizi fanaka Naimba ninapotaka Fungua njia nifunge mipaka
Nyota izidi kuwaka Nipate nitoe sadaka Waoneshe binadamu bila we ni taka taka
Niliwapa high and low wakasema nimeongea Eeeh wengine kajifariji lege ikawaonea Baba levo kalikamata jiji sasa wanaongea We kubali tuko level fiti ngoma inapepea
Hehe mi ni mtatanishi ndio maana nawatatiza Wanashangaa kilema anawkimbiza Hawanitakii ila nishangÂŽangÂŽaniza Na siwaachi nazidi kukandamiza
Ati metjali wamekubali kwnza mi ni soo Nitafika mbali nizidishe floor Hawa wanati tea wanajiona kwa chop Samata Sanata nawafunga goal goal
Nataka tena hai, nataka nini? hai hai Nataka tena hai, nataka nini? hai hai Nataka tena hai, nataka nini hai hai Nataka tena hai, nataka nini hai hai Nataka tena hai, nataka nini hai hai Nataka tena hai, nataka nini hai hai Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Walichokosa mizuka nimechafukwa na kina luja Hata mvua inyeshe wameyatimba vumbi taruka Wajanja wanasanuka, washamna kinashuka Na hii haina kufeli songa karibu nikupe ukweli
Nishapiga makina ngoma mamidundiko mpaka singeli Ila mambo ndo yamegoma hao wadau ni matapeli Wanaopewagwa nafasi kijiwe nongwa tu hamna teli Tunaojuaga nafasi sio sio madarasa ni matapeli
Kigoma mwisho wa reli Nikiite kifala mtafeli Asante kwa mashabiki wanaonipa kila la kheri Pole kwa wanafiki wanaosifu kwa kukejeli Muda ndo umefika tutapambana pah pah pah
Leo natangaza vita mi ndio kidume nani mwingine? Wekeni vikwazo nitapita mi ndio kidume nani mwingine? Hamwezi kuniongopea siiishi kwa mazoea Nataka nipewe darasa la kuwafunza na kuwakemea Watu niwape hamasa za kuwafunza na kuwazomea Kisha nifanye siasa mwenye kuimba nikigombea
Nataka tena hai, nataka nini? hai hai Nataka tena hai, nataka nini? hai hai Nataka tena hai, nataka nini hai hai
Nataka tena hai, nataka nini hai hai Nataka tena hai, nataka nini hai hai Nataka tena hai, nataka nini hai hai Nataka tena hai, nataka nini hai hai