đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Baddest 47
Titre : Hujamzidi baby
Ati umependeza kawigi kwa Aristote
Hujamzidi babe wangu
Eeh una kishindo kuliko wote
Hujamzidi babe wangu

Eti we ni fundi kinyama tena Mdigo
Hujamzidi babe wangu
Eh na huko nyuma una mzigo
Hujamzidi babe wangu

Asa baby anakata, Kataa!
Yeah anakata, Kataa!
Check beiby anakata, Kataa!
Ai anakata, Kataa!

Hujamzidi babe wangu
Hujamzidi babe wangu
Hujamzidi babe wangu
Hujamzidi babe wangu

Napiga gym kabody nina six pack
Hujamzidi babe wangu
Maana pesa nyingi uliza wananiita mshati

Hujamzidi babe wangu

Alafu na bonge la tango
Hujamzidi babe wangu
Na kiwango
Hujamzidi babe wangu

Asa baby anakata, Kataa!
Yeah anakata, Kataa!
Check beiby anakata, Kataa!
Ai anakata, Kataa!

Hujamzidi babe wangu
Hujamzidi babe wangu
Hujamzidi babe wangu
Hujamzidi babe wangu

Go bebe, go bebe

Go bebe, go bebe
Go bebe, go bebe
Go bebe, go bebe