Usiishie kununua chipsi tu Nyama nyingi kuliko chipsi zipisi mmh Anakula zege wanakodolea mahips tu Na unapasuka hujanyonya hata lips, duu Haa, kwao wanamuita kicheche Tembeza moto mpaka mwisho usitoke na cheche Kati kati tu utaskia acha ipoe nipepee Afu ukicheki comrade rungu kipepee
Si mnasema ndo maana neno love tushaskia Mbona fresh nalipa ila utahadithia Mguu wa shingo mguu wa roho huku nakanyagia Nishalipa kiingilio baada ya show nadissapear