Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza sipo niambie bado
Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza kifo niambie bado
Nikumbushe bado, niambie bado Nikumbushe bado, mwanao bado
Nimesoma degree na kazi bado(Bado) Mke wangu anadanga umasikini chanzo(Bado) Vibarua Eastleigh na kazi bado(Bado) Nyuma nayo ya kupanga elimu zero(Bado)
Mama analia cancer matibabu bado Heri yule tajiri atatibiwa Ng´ambo Baba lini machozi yatafika mwisho Fanya hima ushuke tumefika mwisho
Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza sipo niambie bado
Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza kifo niambie bado
Nikumbushe bado, niambie bado Nikumbushe bado, mwanao bado
Mwanao nimemiss kucheka Vile vifunny funny vya wenzangu Natamani hata kuona Nijue sura ya mke wangu
Pia mwezi na nyota nione Nikichunguza na kuvutia Alafu isitoshe Shida zimeniandama aaah
Kodi sijalipa(Bado) Jirani anachoma nyama aah
Angalau hata mboga(Bado)
Si ati kwamba nasahau Unaniwaziaga mema(Bado) Ila mwisho nimefika Lakini nakutazamia(Bado)
Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza sipo niambie bado Kuna wakati nafika mwisho niambie bado Kuna wakati nawaza kifo niambie bado
Nikumbushe bado, niambie bado Nikumbushe bado, mwanao bado
Mwanao nimemiss kucheka Vile vifunny funny vya wenzangu Natamani hata kuona
Nijue sura ya mke wangu
Mwanao nimemiss kucheka Vile vifunny funny vya wenzangu Natamani hata kupata baraka Nifanane na wenzangu