Nilikupenda sana Ila haukuniona wa dhamani Haukuniona wa dhamani
Sitaki kubonga mob Nikurushie lawama Ila roho yangu unaijua Nilikupenda sana
Nilipokosa nisamehe Ulipokosa nikusamehe Na maisha yaendelee eeh
Nilipokosa nisamehe Ulipokosa nikusamehe Na maisha yaendelee eeh
Rafiki zangu wanaulizia, wanaulizia
Ndugu zangu wanaulizia, yule wa zamani Haya mama anaulizia, anaulizia Majirani wanaulizia, yule wa zamani
[Mejja] Nimemiss sauti yako ndani ya nyumba Nimemiss nikisanif shash na we unafunga Nimemiss tukioga pamoja Nimemiss ukipika mi naonja Nimemiss familia nimemiss manzi yangu Ulikuwa beste yangu, advice za mabeste ndo uliskia Walikuchocha ukavunja familia but I hope Mahali uko unafurahia
Pole bado napenda mtoto wako Ukiwa na shida usiogope kusema Maisha yako mi nakutakia mema
Mad yeah Kansoul anaulizia, anauliza Mama Hadija anaulizia, yule wa zamani Willy Tuva anaulizia, anauliza Governor Joho anaulizia, yule wa zamani
You never took your time to know me, time to know me You never took your time to understand You never took your time to know me, time to know me But loving you is all I had
Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea Hata nikuone, Â ukiwa naye mi nawaombea Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea Hata nikuone, Â ukiwa naye mi nawaombea
Maina Kageni anaulizia, anaulizia Emali Havi anaulizia, yule wa zamani Mwakideu anaulizia, anaulizia Ata Otile anaulizia, yule wa zamani
Ommy huruma anaulizia Mtua anaulizia Mama Cider anaulizia Yule wa zamani
Kiuna anaulizia Mwende Clemmo anaulizia Kwtu Mathare anaulizia Yule wa zamani
Mama mejja anaulizia, anaulizia Kama wa Pango anaulizia Pengting wa zamani