niwe kutoka monday ,tuesday nisikusahau maulana ikifika friday sunday kanisani niwe ibada niwe kutoka monday ,tuesday nisikusahau maulana
ikifika friday sunday kanisani niwe ibada
basi cheza de, dance de ukiweza de kama daude cheza de, dance de ukiweza de ata kide kide tunalala amka lala amka yesu anapepea tunalala amka lala amka zidi kutuombea
maisha yasizidi kusahau mungu baba uceleb burundani ni kushau yesu baba nisiwe  kama mwana mpotevu nifanye mwaminifu ka joseph nisiwe  kama mwana mpotevu
niepushe majaribu ka ayubu