Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie Baba Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi nikununie Baba Hizi vitu ndogo ndogo, ndogo .
Sukari ikipanda na unga hizo vitu ndogo
Umekonda na yule ameunga hizo vitu ndogo Unashinda unalia kusota hizo vitu ndogo Kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo .
Eeh vipide Unajua bila Yesu ni trikide Mimi bahatide nakwambia shida zako ni ndogode Anakuchekide everyday ukicomplain ju ya holiday Hizo vitu ndogode mbele yake ndogo ndogo kama odede Na Unashinda ukilia kusota hizo vitu ndogo Kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo .
Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie Baba Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi nikununie Baba Hizi vitu ndogo ndogo, ndogo .
Aah Mimi ni winner hata kama sina pesa
Lamborghini na bima Najua zote atanipa nipa Madeni alilipa huyu Yesu wa uzima .
Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye nisikuimbie Baba Hizi vitu ndogo ndogo zisifanye mi nikununie Baba Hizi vitu ndogo ndogo, ndogo