Mmmh Mbogi Genje Mbogi genje, niko genje Bahati...
(EMB Records)
Skiza, ni mbali nimetoka Mawazo stress lini nitaomoka I´ve seen my friends die everyday ey Because of crime I loose my day eeh
[Guzman] Guzuu.. Nikirise kwa ftiach ya mroko Alini-guide nakukashifu usoro Ady bonoko tulikashi na mnoko Tukitapo mamkish maorosho Never forget sheito alikua angel Ukimdiss anakuviet na attention Alitekeswa kipaji na underration Na ukimkashif anajua ye ni devil Ka riang´a siinzagi kwa mongo Ka riang´a siinzagi kwa mongo
[Bahati] Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto
Mi nina ndoto nitoke kwa mtaa Niwe sonko mami-ii Niwache crime niuze na bidhaa Kabiashara nani-ii
Mi nina ndoto ya kukuwa star Internationally-ii
Nirudi home nibadilishe mtaa Kwetu Mathare nani-ii
[Smady Tings] Livity nimepitia ni ordeal Na ndo maana youth wanasuffer nawafeel Na ndo maana, daila mi natry kukeep it real Siku mingi wamejaribu kuni-derail Mbogi ndo mi nawavutishanga line Walibaki nikachorea ku force line Ju design nilikuwa sawa ni kama ni lime Nikihope some day vitu zitakuwa fine
Hustle noma lakini sijajipin Ju bidii ndio kitu ilinitoa kwa scene Walijudge hawakumezea nimebeba dream Na siwezi loose life ndo nipandisie king
[Bahati] Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto
[Militan] Wholla jai rengwa zote ni kirao (Ni kirao) Janta some kabla nijichape mboka Ghetto youth kila gota ni kujuggle Hawadai maghetto youth wagonye dibra Daila ni kufruss wakiturianyu Jahjahre nauwo tunazied gwatha
Lutu amasung sirudi manyu Nimeviex vile rima kumeidra Sina riang kama daila niko furda Med zole zinaitisha surba Ju nadai zinibebe kama ubra Ju nadai zinibebe kama ubra
[Bahati] Mi nina ndoto nitatoka chini Nina ndoto mtoto wa masikini Nina ndoto nitaenda far Nicheze ligi ya mabingwa kama Wanyama
[Bahati] Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto
Ebu cheki nimetoka mbali Ni kama ndoto Ebu cheki naenda mbali Ni kama ndoto
Watu wangu wa ghetto Watu wangu wa ghetto Mathare mashimoni Huruma vibandani
Watu wangu wa ghetto Watu wangu wa ghetto Eastlando yoh yoh Msifu moyo yoh yoh yoh