Emb records Mama mama lalelee DK Kwenye beat na bahati tena
Niko na mengi masikireti
Niyatoeje kwenye kibeti Sometimes naregreti I am so sorry
Na, niko na mengi masikireti mengine makubwa na mebgine petty Na mengine mmewitnesi Am so sorry
kabla niseme sana, baba nisikize leo niko na bratha, anaitwa DK
Baba ulie juu mbinguni,najua unatazama Mimi ni mwanako, mpendwa katika bwana Naishi kwa bahari, mchanga uliozama Kwa mbali naona vumbi, iliyohama Na njaa ilitawala na tamaa ya ganji Nafanya mradi kwa kivuli cha uchungaji
Nazini sana na upako wa kipaji Gunia la dhambi na namvisha Yesu taji
Niko na mengi masikireti Niyatoeje kwenye kibeti Sometimes naregreti I am so sorry
Na, niko na mengi masikireti Mengine makubwa na mebgine petty Na mengine mmewitnesi Am so sorry
Sorry, sorry sorry, am sorry Sorry, sorry sorry, am sorry