Mmmm yee hey hey hey oooh Story yangu, Niskize Mtoto mama, hivi unavyo niona ah Mimi Denno, nimetoka na mbali sana Hey hey, na
Tange me nikazaliwa, hata mwangaza, Sikuwai kuja kuona, ey hey yeeh Tange me nikazaliwa, hata mwangaza, Sikuwai kuja kuona,
Hebu rafiki, nipe sikio, mimi nataka simulia Najua uchungu, maswali mengi kwako moyoni Kwanini Molla iwe hivi, kwanini Mola iwe mimi
Najua uchungu,na mimi haunioni, niko na rasta lakini mbona Nimefungika wapewa story, at nine Mama alipoondoka, skiza nikupe story, kumbuka ghetto ni ngori At nine, baba akanitoka, sana ikiwa machozi,
Mchanga na sijiwezi, Maisha kung´ang´ana nkaona siwezi,
Ndoto zangu nkatupa mbali, ila leo niko mahali Maisha kung´ang´ana nkaona siwezi, Kumbe Mungu aliona mbali, hivi mingi amenipa mimi
Hebu rafiki, nipe sikio, mimi nataka simulia Mungu ni mwema story imebadilika, Leo hii, tunaimba wanabarikiwa Hebu rafiki, nipe sikio, mimi nataka simulia))