Mmmh, EMB Records Odi wa Murang´a mmmh Genge la Boondoksi Na Baha taniua mmmh
Masherehe(Taniua) Hizi kiherehere(Taniua) Dhambi zangu(Taniua) Aki we utaniua aah
Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover

Rieng priest naskia unaitwa Baha Ju si ni wazing utatuskia hatunaga baha Ju ka ni jing zimeshika mara kadhaa
Labda niache mchuma nikaseti kwanza wada Labda niache pupa nikachome kwanza shada Labda niache chingri nisitupe kwanza rada Ama nikateke wale siz wa ibada
Kuna matym natamani chana Aaah eeh kuchana Temptation kiu ya thiang´a Aaah eeh ya thiang´a
Injili yangu inapingwa sana Aaah eeh inapingwa sana Wakinicheki na Odi wa Murang´a Aaah eeh
Masherehe(Taniua) Hizi kiherehere(Taniua) Dhambi zangu(Taniua)
Aki we utaniua aah
Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover
Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover
Walai walai, mashada fangi gani Kamande wa Kioi, tupa gospel hewani Mtoto wa mama before tuanze nina swali Kwa kesi ya mbinguni unaeza nitetea kweli?
Mgenge ni mgenge for real(For real)
Na njege ni njege for real Ka ushai backslide mi najua unanifeel Sijai toa tithe na mi hukuliwa na guilt
Odi huku ni mapitio ooh Majaribio ooh Umetoka mbali tega sikio ooh Na leo tuko studio
Masherehe(Taniua) Hizi kiherehere(Taniua) Dhambi zangu(Taniua) Aki we utaniua aah
Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover
Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover
Nilidai Holy water nikashika Jah Warasta wote ukweli wameumbwa na Sir Jah Holy communion mi huziletanga na jug Ex wangu husema eti labda umenidump
Da, da labda uko done Ba, ba labda niko bar Ni kuthokia ju labda niko bank Illumi sema ati labda hii sasha bank
Gun gun huskii nina gun Ju leo Mtua anauliza kama ataban
Bang bang washa washa bang Bang turn washa washa burn
Masherehe(Taniua) Hizi kiherehere(Taniua) Dhambi zangu(Taniua) Aki we utaniua aah
Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover
Kesho ni zaidi ya today Mbona unakaa unauliza mbona? Mbona mawazo ya today Jana ulichana sasa ni hangover
Tuna craving ya, neno la Bwana Bikra Maria tupe rehema Tuna craving ya, neno la Bwana Bikra Maria tupe rehema