đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Band Beca
Titre : Shoboka
Shoboka mpaka chini mama shoboka
Shoboka jisheue mama shoboka
Shoboka mpaka chini mama shoboka
Shoboka jisheue mama shoboka

Ring de alarm itÂŽs your girl band Beca
We ready kwenye the scene
Kuingika imeingia
Na gimbo nguya inachachisha

Hii pesa leo ni sanitizer
Ambia waiter aongeze energizer
Tumekuja na hatutoki

Nimefanikiwa ni baraka mi napata
Nahamasisha gang na ni nyayo wanafuata
Unataka kujua ni nini ilifikishanga hapa
Ni Kwamboka vibaya tangu tene mpaka sasa

Mimi nina nguvu za kike (Ayee)
Nimejituma nifike (Ayee)
Hizo ganji mi nishike (Ayee)
Sho! Sho! Sho! Shoboka

Shoboka mpaka chini mama shoboka
Shoboka jisheue mama shoboka
Shoboka mpaka chini mama shoboka
Shoboka jisheue mama shoboka

Naishobokea ndio maana naitobokea
Vile kwanza nimejitolea maisha yangu yana mbolea
Sai mate mnanimezea nyi mnataka mazoea
Unanichocha unaniombea kumbe unaeneza umbea

Nakumbuka nikikosanga chakula
Umepiga looku mi natamani hio Puma
So usitoke endelea kusukuma
Mi najua uko strong uko strong kama chuma
Watasema watachoka wenye wivu wajinyonge
Wengi walinichomea mimi nisiendelee

Saa hii cheki mimi naendelea
Kwa baraka ninapepea
Tumekuja kusherehekea
Sho! Sho! Sho! Shoboka

Shoboka mpaka chini mama shoboka
Shoboka jisheue mama shoboka
Shoboka mpaka chini mama shoboka
Shoboka jisheue mama shoboka

Fanikiwa barikiwa
Fanikiwa barikiwa
Fanikiwa barikiwa
Fanikiwa barikiwa

Shoboka Shoboka Shoboka
Shoboka Shoboka Shoboka