Navutia! Mwenye sikio basi sikia Mimi mtoto Mashallah Hebu cheki sina balaa Tupa Jicho kwenye habuba Mpaka leo useme halala
Huyu mtoto toto amekam na joto (Joto) Huyu mtoto toto nikama kuwin lotto Wanapenda kula (Wowowowowo) Wanapenda kula ((Wowowowowo) Huyu mtoto toto nikama kuwin lotto
Waite wote (Waite) Waite wote (Waite) Waite wote (Waite) Waite wote wanione Waite wote (Waite) Waite wote (Waite) Waite wote (Waite) Waite wote wanione
Mi kwa leo yaani hamuti Nimekutana na malaika Mwaga money am low-key Umekutana na Malaika
Oooh la! Naona kama wengi wengi mpaka mwisho Oooh la! Watu tuko gente gente mpaka mwisho
Kiboko mi nawakomesha Mpaka wanaomba sorry sema honey Kumoto nishawasha Sijui hata atayezima ni nani
Wanapenda kula (Wowowowowo)
Wanapenda kula (Wowowowowo) Wanapenda kula Unapenda kula  (Wowowowowo)
Waite wote (Waite) Waite wote (Waite) Waite wote (Waite) Waite wote wanione Waite wote (Waite) Waite wote (Waite) Waite wote (Waite) Waite wote wanione