Baba what more can I say? Haimaanishi kwamba sikosei Ila bado unanilinda Kila kukicha pumzi hunipa Baraka tele unanipa
YouÂŽre so kindness
In the name of The Lord of the mass If you believe in God many things will be okay Maana Mungu anatenda kila wakati, stand up
Kuna matatizo nilishapitia aki nikachukia dunia Mungu akanihurumia akanifanya mpya Baba Sitetereki sihangaiki, sipapatiki mimi Wanafanya vingi wanipige ngwara Ili niende chini ila wapi
Mabaya anazuia (Mungu hataki) Mikosi anapangua (Ooh ila wapi) Mabaya anazuia (Eeh Baba hataki) Oooh..
Kuna muda nilisaka sarafu sipati
Hadi najichukia yoo Nilipotaka mke mwema nikawa sipati Akanisaidia Baba
If you believe in God many things will be okay Thankyou Lord of the mercy Thankyou Baba Nagode You bless me each and everyday
Maisha yangekuwa simu ningeweka bando Nichati niwezavyo Maisha yangekuwa nyumba ningemimina zege Idumu iwezavyo (Aaah)
Ila yuko Mungu yaani ni mvunja vyungu Hata waganga wanamwomba yeye Au nikakape na marungu Yaani niwape watu uchungu Yaani ni wakati uko wewe Baba
Nijalie uzima, nimezingirwa kila kona Maadui wako wengi sana Wengine siwezi kuwaona You are so kindness, you are my bodyguard You are my policeman siogopi Baba
Mabaya anazuia (Mungu hataki) Mikosi anapangua (Ooh ila wapi) Mabaya anazuia (Eeh Baba hataki) Oooh..
Kuna muda nilisaka riziki sipati
Hadi nakajichukia ooh Kuna muda nilisaka mke mwema sipati Akanisaidia Baba
Mabaya anazuia (Eeh Baba hataki) Mikosi anapangua (Ooh ila wapi) Mabaya anazuia (Eeh baba hataki) Oooh..
Baba what more can I say? Haimaanishi kwamba sikosei Ila bado unanilinda Kila kukicha pumzi hunipa Baraka tele unanipa YouÂŽre so kindness
Baba what more can I say? Haimaanishi kwamba sikosei
Ila bado unanilinda Kila kukicha pumzi hunipa Baraka tele unanipa YouÂŽre so kindness