Eeeh ayooo ahh nanana... Usilie machozi ungali bado unapumua Usikufuru Mungu ungali hii sauti unasikia Wewe umepanga milioni yeye amepanga sufuri Wewe umepanga ghorofa
Yeye amepanga kibanda Ulipanga ule nyama kesho kesho unakula dagaa Usikate tamaa bado una mudaa Shetani hakosi kushindwa Bado na muda Ayoooo oo
Mwenzako kalala mochwari hajitambui Hajui nani anapita Nani anamwita nani anaingia Wewe unaona na unashuhudia Bado una muda Aaah eeh... bado una muda
Mwaka unakatika ulipanga ujenge ghorofa Mwaka unakatika ulipanga ununue verosa Alhamdulilahi umeambulia baiskeli Wakati mwenzako kavuna kwenye mwaka ukilema
Si unapumua angali mzima Bado una muda
Shetani alimjaribu Ayubu Kwa kumpanga majaribu Alimpaka upele mwili mzima
Mke wa Ayubu akasema Ayubu ananuka Ayubu alishinda mitihani We je wewe, bado una muda
Usilalame usitukane zidi kupambana Mungu anaona, muda wako waja atakugusa Ukikosa leo usikufuru Mungu The time has come Usilalame usitukane zidi kupambana Mungu anaona, muda wako waja atakugusa Ooooh ooooh oohh...
Mama nitilie unasema Mungu kakuonea Ewe beba Segel unasema Mungu kapendelea Wakati una mikono Kakubariki na macho na masikio Kuna mwingine hasikii kabisa Kuna mwingine hatembei kabisa Heri kutembea Kuna mwingine hashiki kabisa Wewe unapata nguvu kushika mikono Bado una muda Aaah bado una muda
Sauti hii kama unasikia Sikia timamu Sikia timamu na ufahamu Kama unatambua ninachozungumza Bado una muda, aaah bado una muda
Mungu ametenda mengi juu yangu(mmmh) Kuna muda niliachwa na Baba na Mama Hadi mpaka na wife (na wife) Yeye hakunitupa (aaah aaah) Alininyenyua, akanitembeza Akanishika mkono Akanionyesha mahali sahihi Natabasamu nina muda
Mwingine anaoa leo kesho anaacha Mwingine anaolewa leo kesho anaachwa Wewe umedumu kwenye ndoa furahi bado una muda Usiache kumuomba yeye bado una muda
Wewe umeolewa jana leo umepigwa Wewe umeoa jana leo umesalitiwa Usilalame bado una muda
In the name of Jesus Jesus bado una muda In the name of the Lord of the mass bado una muda In the name of God Messiah bado una muda In the name of Yudah wa Yudah.... Ananguruma you got time
Usilalame usitukane zidi kupambana Mungu anaona, muda wako waja atakugusa Ukikosa leo usikufuru Mungu The time has come
Usilalame usitukane zidi kupambana Mungu anaona, muda wako waja atakugusa Ooooh ooooh oohh...