Akiwashwa na upele mi ndo mkunaji eeh Namuosha mpaka nywele nampa masaji eeh Mtoto bojobojo ngozi yake laini Anapiga mafoto jotojo Ugali nyama maini Mama yeyeyeee, yele baby Shore despacito
Aah, muhibi waridi
Muhibi waridi we wa kunifaidi Aah aah waridi Wangu waridi ninukie waridi
Mtoto mashallah jicho, akiniangalia Akitembea yake maringo, kama twiga buga Akinigusa napata goosebumps Natetemeka tete tete
Nikimwona narejea hohe hahe Sijiwezi kwake sina pingamizi Mdomo zege hohe hahe Sijiwezi kwake sina pingamizi
Nakuwa mzembe mzembe Yaani mzembe mzembe
Dawa ya ndoa ni uaminifu
Huwezi kufuta machozi kwa mikono Wapi Juma Lokole tajiri wa wambea Komesha Aristote Wapi papa Mwijaku tajiri wa kitambi Mama Irene Uwoya jiii Yanga piga kelele watu wa Simba niskie mngurumo Mmmmh mbetele mboko yuko na makasi Bahati aliokota kunyavu Rest in Peace Mutaba .. Mwanamke hapigwi