Ulisema unanipenda unanifeel Ona sasa najuta kujuana Ukasema hutokwenda ata kama macho kodo Wakitoa macho sana
Ulitaka nini kwani mimi nisikupee Ulisettle ndani kumbe nje shang kupe Venye buda yaani mi nidhalilike Machozi hayawezi kukuwacha wewe usalimike
Yuko wapi my love, yuko wapi my love? Yuko wapi my love, yuko wapi my love?
Nikitoka wanaweka, wanaweka wanaweka Machizi wanaloweka, wanaloweka wanaloweka Dem gyal am a bomboclat eeh Dem gyal am a bomboclat eeh Dem gyal am a bomboclat, bomboclat, bomboclat
Yeah exactly Maana kumbe mjinga ni mimi Nilikuwa naona far Maana paka la mjini unakaa kila bar
Stay away from me I donÂŽt want you no more Maana nikiondoka machizi wanalowekaga Naona hakuna mapenzi nachorekaga Bora niwe ulishaganikondeshaga
Yeah yeah yeah yeah Wanaanzisha vitimbi unaniona kama pimbi We mami ma, manina Unaniona kama pimbi, unaanzisha vitimbi Mami ma, manina
Machizi wanaloweka, wanaloweka wanaloweka Dem gyal am a bomboclat eeh Dem gyal am a bomboclat eeh Dem gyal am a bomboclat, bomboclat, bomboclat
Huwa na tusingejuana baby Hata text zako singesoma IG Niliambiwa na wadadisi nikagoma baby Leo kinyago changu umenichonga HD
Ina maana uko na utamu wa kunishow nice romance Still ukanifanya bonus Sio rahisi kukusahau labda nikuformat Kiungo kwenye mwili kama shati  tu na collar ItŽs alright, itŽs alright
Sometimes nalaumu mpaka nakufuru Mungu Nakufuru Mungu yeah yeah
Kumbe we ulinichora ukatupanga kwa mafungu Tupanga kwa mafungu yeah yeah
Penzi ukalicheza no fair Ungeongea ningejua wooo Hivi ulivyofanya not fair Ningejua nisingeingia woo woo
Nikitoka wanaweka, wanaweka wanaweka Machizi wanaloweka, wanaloweka wanaloweka Dem gyal am a bomboclat eeh Dem gyal am a bomboclat eeh Dem gyal am a bomboclat, bomboclat, bomboclat