Unaringa na mume na mumeo Kati hakuposti (Pasua kichwa) Unaringa na Benz wakati una ploti (Pasua kichwa)
Unang´ang´ana na mume Na mume hakutaki (Pasua kichwa) Unajigamba una mke Mke ana ving´asti (Pasua kichwa)
Aah Dar es Salaam ni kubwa Watu wanaruka ukuta Wenye mahaba wanalia mapenzi yamewachachia
Tunaringa tumepima Kama penzi tumekatia bima Ye mzizi mie shina Penzi letu hakuna kuzizima
Baby mwambie baba Hata huna gari nimekupa na roho Kisha mwambie baba Mambo ya bingu tunang´oa kipa roma
Tutiane stress (Pasua kichwa) Kila siku kesi (Pasua kichwa) Utanipa murder kesi wewe (Pasua kichwa) Hapana no no no (Pasua kichwa, kichwa, kichwa)
Mara nikufumanie guesti (Pasua kichwa) Ukizidandiaga waleti (Pasua kichwa) Kila siku kesi no (Pasua kichwa) You need to leave me alone (Pasua kichwa, kichwa, kichwa)
Shawty ooh, give me your break Kila siku unanipa mastress Mi bado mdogo za nini stress? Mitaani hauishi tetesi
Ng´ang´ana mpira sima na mpira
Wanashuti goal Mambo ya wawili tumwachie Dr mwaka Mchizi wa mambo