You for one I cheat girl Im a chizi you coz youÂŽre are beautiful Sipendi mambo ya kulie lie Nishampenda sa ya nini kulie lie
Nilikotoka nilishasota Niliko sasa msumari wa mapenzi Ndo umegonga guess so
I spend my whole time With you in my head Never thought You will be my oneday
Wowowowowowo Be my oneday, be my oneday Be my oneday
Nakupenda ila nataka ujue Bila wewe mwenyewe siwezi Oh no no Bila wewe mwenyewe siwezi Oh no no no no
Dunia tamu ila nataka ujue Bila wewe mwenyewe siwezi Oh no no Bila wewe mwenyewe siwezi Oh no no no no
Wanafiki wa moja wala mbili hawakai Maswali ni mengi wamebaki why why? Kwa maumivu tumesema bye bye Mpaka mashetani wanaimba nai nani
Mapenzi ndo kazi na ndo maana niko busy Hakuna ofisi kitandani piga mbizi Hakuna kalamu na ndo maana unamenya ndizi Sina u Marioo wala wewe sio Nyambizi
Mi ni mbili we ni mbili sio mbili bila
Kutunza na kuhonga kwa wachaga ni mila Toka ujanani mpaka udingi dingila Nakupa vitu flani sio mambo ya hila
I spend my whole time With you in my head Never thought You gonna be my oneday
Wowowowowowo Be my oneday, be my oneday Be my oneday
Nakupenda ila nataka ujue Bila wewe mwenyewe siwezi Oh no no Bila wewe mwenyewe siwezi Oh no no no no
Dunia tamu ila nataka ujue Bila wewe mwenyewe siwezi Oh no no Bila wewe mwenyewe siwezi Oh no no no no
Baby najua hii si mara ya kwanza nasema hivi Lakini safari hii ninaapa Hii ni mara ya mwisho Sitarudia tena