Beiby niwashie taa Niko kwenye giza na we ndo mwanga Ndo mwanga, ndo mwanga Ndo mwanga, ndo mwanga eeeh
Huko nyuma nishasuffer Nishajaribu mpaka vichaa Washaniumiza, niumiza eeeh
Yaongeze mahaba Kisha nikupende mara saba Salama, uko salama my love Nishajifunza kuwa nakaba Siri za ndani usijetangaza
Salama, uko salama beiby
Sitaki ulie sababu yangu Wewe si ndo pepo yangu Uko salama, uko salama beiby
Sitaki ulie sababu yangu Wewe si ndo pepo yangu Uko salama, uko salama eeh
Furaha yangu ni kukuona unatabasamu Hata kama siku utanipochoka mikononi Haijalishi kwa maana nakupenda Hisia zangu haziko wazi Na wala hazijifichi mbele zako machoi Si unaona eeeh
Ukiniita natabasamu
Ukinigusa tu napata goosebumps Hahaha, ningepewa jina nikuchagulie Ningekuita waridi
Bali na kuwa nawe tunalala kitanda kimoja Na jinsi sifaidi Natamani kumkaidi bosi niachane na kazi Nijipe likizo nisichoke kabisa Niweze kustarehe na wewe Hata pumzi itakaponizimia niwe Basi uwe wa mwisho maisha
Nawaza lini Mungu atanichukua Je kifo changu kitakuwa mwisho na wewe? Naomba iwe hivyo maana sitaweza bila wewe Iwe duniani, mbinguni ahera Maana kwangu una dhamani zaidi ya hela Leo, kesho na mtondogoo
I LOVE YOU!
Sababu yangu Wewe si ndo pepo yangu Salama salama salama