Nilispend muda mwingi kukupata Haikuwa rahisi nilisuffer
Shimo nililochimba Kina kirefu sana mpenzi
Mtaani wanajiitaga majuba Kazi ndoa za watu kuvuruga Chunga chunga sana Maneno kama spanner mpenzi
Back to the left Back to the right This is the label
Aki sikubali, si tumetoka mbali Hawaijui safari ooh Si tumepewa kibali na mwenyezi maanani Mie tamu yako halali, ooh Nimekupenda uwiu You flex like a uwiu
My baby wangu uwiu
You such a beauty uwiu You flex like a uwiu I love ladies uwiu
Kipi mnachouliza nikiwa kwa yangu line Choko choko za nini wakati tuko fine Umbea mnamaliza bando niwaambie The way she is my family
Sipendi kuona watu wanaandamana Kusema vyangu na wangu visio na maana Kusiriba tu, ooh yeah
Msidhani kama kaja kwangu kajileta tu Nilisuffer mchana na usiku Maana penzi lake bora na nusu
Maneno tusiwape Mungu atujalie one day Shuba mute wale Bahari yetu wasiogelee
Si tumepewa kibali na mwenyezi maanani Mie tamu yako halali, ooh Nimekupenda uwiu You flex like a uwiu My baby wangu uwiu
You such a beauty uwiu You flex like a uwiu I love ladies uwiu, ooh