Wakati hujapendeka Wako wengi wanaokutamani Kaaga kaenda kwa mama (mdogo) Waja kumfuma gaba (majogoo) Ya nini kujisononesha Mtoto mdogo wajipaga pressure bure
Nile naye kwa siku mara tatu Kama mgonjwa wa homa Nikiumwa na pona Dozi nzuri yaani ile kuona Penzi ukalivika ngozi ya chatu Vya kupika ulichoma Penzi ukaliunguza Unataka kurudi hapana
Maana
Niliye naye hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki....(washa)