Nilipokuwa nipo chini mavumbini Nilipokuwa nipo chini mavumbini Walinikataa waliniona ni mavumbi tu Walinikataa nilikuwa sina dhamani kwao
Walijua jana yangu, hawakujua leo yangu Waliniona ni masikini, waliniona sina dhamani kwao Waliniona sina lolote, ila walichokosea hao hao Walijua jana yangu wao, hawakujua leo yangu wanadamu
Leo nang´ara kama dhahabu Acha ning´are mi ni dhahabu Leo nang´ara kama dhahabu Acha ning´are mi ni dhahabu
Mimi mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Usiidharau leo ya mtu
Usiidharau leo ya mtu Maana haujui kesho yake Maana haujui hatima yake Hatima ya mtu i mikonono mwa Mungu Hatima ya mtu i mikonono mwa Mungu
Aliye masikini leo, kesho huyo ndo tajiri Unayemwona chini leo leo, kesho atainuliwa na Mungu Hatima ya mtu i mikonono mwa Mungu Kesho ya mtu i mikonono mwake Baba
Daudi alikuwa mchunga kondoo porini Daudi alikuwa mchunga kondoo Daudi Nani alijua Daudi ni mfalme Nani alijua Daudi ni mtu mkubwa
Kumbe unaweza pitia leo, kwa utukufu wa kesho
Kumbe unaweza pitia leo, hiyo ni heshima kwa Mungu Watakapo kuja kuinua watashanga aah Usije idharau leo ya mtu´
Sasa nang´ara kama dhahabu Amenitengeneza Mungu leo nang´ara Kama dhahabu
Mimi mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu
Nilipokuwa masikini nilivumilia Waliponikataa na kunibeza nilivumilia
Leo nang´ara kama dhahabu
Acha ning´are Mungu amenitoa mbali Acha ning´are Mungu amenikumbuka Na sifa kuu ya dhahabu Na sifa kuu ya dhahabu, dhahabu
Ni lazima ipite kwenye moto Ikipita kwenye moto dhahabu itang´ara tu
Na sifa kuu ya Mungu wetu huyu Hutuinua kutoka chini, chini chini sana Na kutupandisha mpaka juu Na kutuketisha na wakuu
Usijeidharau leo ya mtu Hatima ya mtu i mikonono mwa Mungu
Leo nang´ara kama dhahabu Acha ning´are mi ni dhahabu
Leo nang´ara kama dhahabu Acha ning´are mi ni dhahabu