đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Beatrice Mwaipaja
Titre : Mwaka Wangu
Wakati wa kulima mi nililima kwa maumivu
Hata niipopanda ilibidi kusubiri
Hata niipopanda ilibidi kusubiri

Nilisubiri kwa maumivu mi nilingoja

Nilisubiri sikusahau kumwagilia
Mi niilisubiri sikuwacha weka mbolea
Leo ni mwaka wangu mwaka wangu wa neema

Leo, leo subira imevuta heri
Leo, leo ni siku yangu bwana

-