Ni muda kabla utabasamu Huoni matunda ya kazi yako ngumu Kila Siku magoti kwa madhabao Ila jibu no mbingu imenyamaza kimya Karo ya shule na Kodi washindwa
Utaitoa wapi
Tena maswali Ni Mengi Ni jibu tu Umekosa Ona Yesu anabisha anasema shida Zimekwisha Roho yako atuisha Mfungulie Kama alitenda Yesterday atatenda leo
Hajabadilika Kamwe Kama alitenda Yesterday Atatenda leo Hajabadilika Kamwe
Anakuona Sanar vile umekazana Ila bila mafanikio anaona tu Hakuna Mbaya anasema Ila Hauko pekee yako tu
Mungu Si Binadamu avunje agano lake Anangoja Imani yako atimize agizo lake Lipi gumu kwake Hakuna lisilomshinda
Fedha Ni zake Deni atakulipia Ona Yesu anabisha anasema shida Zimekwisha Roho yako atuisha mfungulie
Kama alitenda Yesterday atatenda leo Habadiliki Kamwe Ule sa wa kusema Maneno haya bila hofu na mashaka Usoni Sina haya Ule saa wa kusema Maneno haya bila hofu na mashaka Usoni Sina haya Kufuta ubaya wangu
Kuondoa mashaka na kunipaa ujasiri Umefuta machozi yangu umerejeshwa
Umerejesha furaha yangu iliopotezwa Umetenda Bwana Umetenda Yesu
Wewe Ni Mungu unayetenda unatenda Unatenda tenda na tenda unatenda tenda tenda(x2)
Umenitendea Mengi Bwana Umenitendea Mengi Mungu Nimeziona fazili zako kwangu
Ule ubaya walionitakia Wewe Mungu sio kama Mwanadamu Kila siku Kuna mema Kila siku Mungu unanipandisha Juu Sifa utukufu nakupa Mungu wangu
Wewe Ni Mungu unayetenda unatenda tenda na tenda tenda na tenda unatenda tenda na tenda (x2)